IQNA – Katika kile kinachothibitisha kuwa nuru ya Qur’ani Tukufu haina mipaka, Mahmoud Hassan Ashrafi, kijana mwenye umri wa miaka 18 kutoka Bangladesh ambaye ana ulemavu wa macho na hivyo haoni, anashiriki katika hatua ya fainali ya Mashindano ya 46 ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu huko Makka, Saudia.
Habari ID: 3482608 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/10